|
Maria na Kim
|
(Buch) |
Dieser Artikel gilt, aufgrund seiner Grösse, beim Versand als 2 Artikel!
Inhalt: |
Maria na Kim ni kimoja cha vitabu vya hadithi katika
msururu wa Little Birds ECDE ambacho kimeandikwa
kuwasaidia watoto kujitambua na kuzitambua hali na
mazingira yao. Yaliyomo ni pamoja na jina, jinsia, umri,
jamaa, marafiki na majirani, mazingira ya nyumbani na
shuleni.
Lengo la msururu huu ni kuhimiza usomaji miongoni mwa
watoto. Msamiati uliotumiwa kuandika hadithi hizi ni rahisi na
wa kawaida. Picha na michoro maridadi na ya kupendeza
imetumiwa ambayo inaifanya hadithi iwe ya kupendeza na
kufurahisha. Hii itasaidia kuwachochea watoto kujadili
yaliyomo wanaposoma. |
|